EQ ya kitaalamu (professional) kutoka Behringer, model FBQ3102. Ina FBQ feedback detection system kwa kudhibiti mirindimo. Sauti safi, stable na rahisi kuset. Bei: 250,000/= Mahali: Dar es Salaam Simu: 0713533662
🔊 RACK CASE / FLIGHT CASE YA SOUND SYSTEM 💰 Bei: 600,000/= 📍 Mahali: Dar es Salaam, Tanzania 📦 Maelezo: Rack Case imara kwa matumizi ya kitaalamu. Inafaa kuhifadhi na kusafirisha vifaa vya sauti kama power amplifier, mixer, equalizer, crossover n.k Ina magurudumu (wheels) kwa urahisi wa kusafirisha na locks imara kwa usalama wa vifaa. Aina: Rack Case / Fligh...
Kifaa hiki huwezesha cctv camera zako ziendelee ku rekodi matukio hata kama umeme umekatika. Umeme ukikatika automatically kifaa hiki kitajiwasha na hata umeme ukirudi basi automatically kifaa hiki kitajizima ili umeme uendelee kufanya kazi.