Excellent condition the screen and back are in perfect condition but the phone does have a fews paint chips on both sides of the phone where the volume button are placed. The Oppo Reno (CPH1917) is a smartphone featuring a pop-up camera, a 6.4-inch display, a Qualcomm Snapdragon 710 processor, and a 48MP main rear camera. Runs on Android 9.0 with ColorOS 6, ...
Piki piki inauzwa.Ipo kwenye hali nzuri sana.Haijawah funguliwa engine.Imekua ikitumika kwa ajili ya delivery tu.Ni piki piki ya kampuni.Ofis zetu zipo kkoo na mwananyamala.Karibuni kwa maelezo zaidi
NYUMBA MPYA INAPANGISHWA KISEKE -ina vyumba vinne vya kulala( kimoja ni self contained), sebule, dinning, jiko, stoo, chumba cha kusomea na public toilet -ina makabati, jiko la njee, stoo ya njee, public toilet ya njee na water reserve tank Nyumba ya pili (2) kutoka barabara ya lami Iko nyumba moja ndani ya fensi