-Kiti maalumu kwaajili ya matumizi ya salon/Special Adjustable Salon chair (Made in America) -Mashine 2 Za kawaida ,1 ya kuchaji . - Vioo Vikubwa Viwili @ 120cm x 90cm Location: Mbezi juu Kwa Sanya 📱0694009747
Lenovo desktop (All in one) bado mpya Intel core i3, screen 21", storage 1Tb, Ram 4gb, CPU 2.00GHz, Imetumika miezi kadhaa ipo very mint condition haina shida yoyote. Ipo zanzibar kama una mtu zanzibar unamuagiza au kama huna tunaweza kufanya mpango wa kuileta dar Usisite kunicheki kama upo interested hakiharibiki kitu