Ina uwezo wa kutoa tofali nne kwa wakati mmoja na pavings. Inatumia motor 3 za vibration zenye 2.2kw kila moja. Inakuja na toroli 2 za kubebea tofali, tool box na control box. Tunatoa free installation na training. Ina uwezo wa kufanya kazi 24/7 kwa shift. Warrant ni 6 months kwenye motors.
Maelezo ya Bidhaa Lenovo ThinkPad X230 Inauzwa Laptop imara na ya kuaminika, inayofaa kwa wanafunzi, wafanyakazi wa ofisini, au matumizi ya kawaida. Ina processor yenye nguvu na RAM ya kutosha kwa ajili ya kazi nyingi kwa wakati mmoja. Vipimo: Processor: Intel Core i5-3320M @ 2.60 GHz (Generation 3) RAM: 8GB Srorage: HDD 500GB Operating System: Windows 11 Pr...