Ina uwezo wa kutoa tofali nne kwa wakati mmoja na pavings. Inatumia motor 3 za vibration zenye 2.2kw kila moja. Inakuja na toroli 2 za kubebea tofali, tool box na control box. Tunatoa free installation na training. Ina uwezo wa kufanya kazi 24/7 kwa shift. Warrant ni 6 months kwenye motors.
Versatile Inapatikana kwa geji 28 pekee na inakuja katika gloss na matte Finish. Upana wake ni 1015 mm (upana wa halisi). Urefu wa kawaida ni mita 2.1, 2.4, 2.7,3.0, 3.3, 3.6, 3.9, 4.2, 4.5 na 4.8 na inaweza kuongezwa hadi mita 6. Versatile gloss inauza kwa Tsh 23,311 mita moja matte inauza kwa Tsh 24,448 kwa mita. Kipindi cha Warranty (udhamini) wa gloss na...
Minja real estate & Car Broker introduce:- Raum for sale or exchange Model 2005. Engine capacity CC 1490. Full AC. 1NZ engine Selling price Mil 10.8 no negotiation. Call/whats app for more pictures.