Ina uwezo wa kutoa tofali nne kwa wakati mmoja na pavings.
Inatumia motor 3 za vibration zenye 2.2kw kila moja.
Inakuja na toroli 2 za kubebea tofali, tool box na control box.
Tunatoa free installation na training.
Ina uwezo wa kufanya kazi 24/7 kwa shift.
Warrant ni 6 months kwenye motors.
Read more