Luxury Watch Case (12 Slots) Hifadhi na linda saa zako kwa umaridadi na usalama! Watch case hii ya hali ya juu ina nafasi 12, iliyotengenezwa kwa material imara na premium finish. Ndani imewekwa kifaa cha velvet laini kinacholinda saa zako dhidi ya mikwaruzo. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa saa au zawadi ya kipekee. ✅ Inabeba saa 12 ✅ Muonekano wa kifahari na ...
kiwanja kinauzwa na nyumba Dar es salaam,kibamba,kibamba njiapanda ya delin nyumba yenye vyumba 7 na kiwanja kipo kimbamba mtaa wa delin umeme,maji,na barabara nzury na vyote vipo,shule kiwanja kimepimwa kiwanja kina faa kwa makazi,na biashara.