La mtu mmoja ni sh 150,000 La watu wawili ni sh 250,000 La watu watatu ni sh 300,000 Ukitaka la wawili na la mmoja ni sh 300,000 Ukitaka la watatu na la mmoja ni sh 360,000 Ukitaka la watatu na wawili ni sh 400,000 Yote seti nzima ni 550,000
Chakula bora kwa ajili ya mbwa mwenye matatizo ya kuwashwa ngozi kwa kitaalamu tunaita Food Allergic Dermatitis, pia mbwa mwenye changamoto ya viungo yaani Arthritis anapaswa atumie chakula hiki. Siwezi kutaja kila kitu hapa lakini chakula hiki ni tiba ya magonjwa mengi kwa mbwa.