Gharama inaanzia 110,000 mpaka 400,000 Unapata Dakika, sms, Unlimited Internet kwa mwezi mzima, na unapata 10 gb kwa watu wako kuanzia 1 - 14 kutokana na kifurushi utakachoweka. Usikose hii fursa.
"RAI YA JENERALI" ni kitabu cha makala za mzee Jenerali Ulimwengu. Hiki kitabu ni juzuu ya tatu; kina makala zote za mwaka 1996, zilizoandikwa na Jenerali Ulimwengu.