Luxury Watch Case (12 Slots) Hifadhi na linda saa zako kwa umaridadi na usalama! Watch case hii ya hali ya juu ina nafasi 12, iliyotengenezwa kwa material imara na premium finish. Ndani imewekwa kifaa cha velvet laini kinacholinda saa zako dhidi ya mikwaruzo. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa saa au zawadi ya kipekee. ✅ Inabeba saa 12 ✅ Muonekano wa kifahari na ...
Triangle hanger Inahamishika na kumpa mteja nafasi ya kuhamisha na kuweka nguo nyingi kwa wakati mmoja Badala ya kulipia 60,000 utalipia elfu 45,000 (Okoa elfu 15,000 Nzima) Piga simu 0627292680 sasa kuipata bidhaa hii