Bei ya Bidhaa Nyingine mpya na used kutoka kwa wauzaji mbalimbali Morogoro Tanzania. Find great deals on different products from verified sellers on Zoom Tanzania.
We sell mahogany steps for stairs.Each pieces of a length of 4ft(48") and width of 12" and thickness of 2". Whatsapp us to place your order now.All orders are required to be paid upfront for delivery to be made.
Shamba linauzwa msata kutoka barabara kuu kuingia shamban mita 350 kira ekari moja inauzwa mirioni 4000000 kwa maelezo zaid 0656137213 ukubwa wa eneo ekari 6 tu
Nauza vifaa vyangu vya studio vilivyopo pichani kasoro laptop na hiyo Meza na kiti vilivyobaki vyote vipo kwenye package hata hilo carpet lipo ndani ya package kubwa wake ni futi 17×12,maongezi yapo kidogo package ina vitu vingi vizuri ukafika kuona boss, vifaa unaruhusiwa kutest kama tutakuwa serious kununua
Kuku chotara wanauzwa, wana miezi minne kasoro, mategemeo ni kuanza kutaga ndani ya miezi miwili. Ukinunua zaidi ya kuku 30 ni Tshs 12,000/- Weka oda yako mapema