DR Teal's BODY SCRUB AVAILABLE Zina exfoliate, zinaondoa uchafu kwenye ngozi, Hizi ni moia wapo va scrub zinazopendwa saana na zinazotumiwa na watu wengi Hizi scrub zina exfoliate, ukimaliza kujiscrub unapata a very soft feeling na ngozi haibaki kavu. Ulazo wake pia mkubwa unakaa navo mda mrefu! Get smoother skin with Dr Teal's Body scrub! Available in Pink ...
Africa black soap ni kiboko kabisa ? hii ni nzuri kwa ngozi na nywele. Inaitwa magic soap kwa ajili ya maajabu yake ? Faida za Africa black soap Inaondoa mafuta usoni kwa wenye ngozi ya mafuta na chunusi Inaondoa madoa kwenye ngozi hasa yaliyotokana na chunusi Kung'arisha ngozi na kuweka unyevu Inatoa harufu mbaya ya kwapa Inasaidia kufifisha michirizi Imatu...