BEI MAELEWANO !!!! BEI MAELEWANO!!!!
Tshs. 550,000/=
_
Friji kubwa sana la familia
Lina urefu wa Futi 6
Used
Haina tatizo lolote kabisa
(Napo hamia halitoshei naliuza)
Linagandisha mno, masaa 4 barafu kabisa
Nipo salasala, Dar es salaam
No delivery available (Delivery ni juu ya mteja)
Contact if interested: +255627974474
Read more