Nyumba inauzwa 300M. (Sqm600) . Mbagala kizuiyani barabarani pembeni ya Mahakama ya kuu mbagala na soko la kizuiyani. Nyumba ina Hati miliki, ina fremu 5 za biashara na Vyumba 5 vya kulala, Eneo ni kubwa, unaweza kujenga gorofa, ukumbi, apartment au fremu za kisasa mana eneo ni la biashara. Nyumba Haina Kipengele Chochote. Mawasiliano O654542366 Mmiliki, kar...
Nyumba nzuri inauzwa Iko Mtaa wa Amani. mpiji Magie kituo Cha Daladala kinaitwa Machimbo Ina vyumba 3 Kwa ndani 1 Master viwili kawaida. jiko, Dinning na Sitting room na Public Toilet Nje Ina vitu vifuatavyo Vyumba vya kulala 2 Chumba 1 cha ofisi Frame 1 ya biashara Parking ya kutosha magari zaidi ya 5 Mabanda ya kufugia kuku zaidi ya 1000
Eneo la beach Plort linauzwa lenye ukubwa wa heka 10 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami bei ni milioni 30 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu namba 0659628665
Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 50 lipo umbali wa kilometa 1 kutoka barabara kuu ya lami eneo zuri sana linafaa kwa uwekezaji makazi kilimo ufugaji na nk kwa maelezo zaidi piga 0659628665 shamba bei ni milion mbili kwa heka moja.
Shamba linauzwa lipo mbwewe lina ukubwa wa heka 100 bei ni laki nne umbali kutoka barabara kuu ni kilometa 4 kwa maelezo zaidi piga simu namba 0659628665
Hellow!! Jamani wapendwa wetu leo Tumewaletea SET nzuri Sana yenye SUFURIA4, FLAMPENI1,NA BAKULI karibun Sana Wapendwa wateja wetu na SET hizi Zimebaki Chache mnoo wahi Sasa tuma Order yako Tukufanyie FREE DELIVERY popote ulipo nchini buree!! karibun Sanaa na Kuhusu rangi msihofu wateja wetu zipo tele rangi nyingi, tofauti,nzuri na zakuvutia Karibun Sanaa,🙏🏻...
Vifaa Nyumbani na FanichaKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania