Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea SET ya FLAMPENI TU ambazo zipo pic,4 TU!! Kwa TSH,150,000 TU....!! Karibun Sana wapendwa wetu wateja zipo Chache Mnoo jmn Nawaomba Tusiizache jamn,🙏🏻🙏🏻 Tuma Order yako Tukufanyie FREE DELIVERY popote ulipo nchini buree Tupe Location tunakuja Hadi mlangoni kwako YARA HOMEWARES TUAMINI NA SISI TUKUAMINISHE, 🙏🏻🙏🏻
Vifaa Nyumbani na FanichaKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
Shamba linauzwa lipo mbwewe pwani lina ukubwa wa heka 50 lipo umbali wa kilometa 4kutoka barabara kuu ya lami eneo ni zuri sana bei ni laki nne tu kwa heka moja pia unaweza kupiga simu namba 0659628662 kwa maelezo zaidi.
Nauza friza yangu ya Exquisite (Lita 200) ambayo nimeitumia kwa muda mrefu na bado ni nzima kabisa. Nimeamua kuiuza ili kupata nafasi zaidi ofisini kwangu kwa ajili ya maboresho. Sifa na Hali ya Friza: 1. Uwezo: Inagandisha vizuri sana na kwa haraka, inafaa sana kwa biashara ya vinywaji au vitu vya kugandisha. 2. Compressor Imara: Kama unavyoona kwenye picha...
Vifaa Nyumbani na FanichaMbezi High School/Kiramuu Hall