Nauza mashine ya barafu 120 kwa masaa 4 Tu
Mashine inatumia umeme wa 5000 kwa barafu 120 hadi 150
Unauwezo wa kuuza barafu 250 hadi 300
Mashine hii pia ina makopo yake ya kugandisha barafu za Tofali.makopo 40 total
Mashine wa biashara nzuri na inakupa faida kwa haraka.
Wahi tuwahi mashine naiuza bei ya kutupa.
Read more