Shamba linauzwa Kiwangwa masuguru shamba lina hati na lina ukubwa 10 pia shamba limegusa barabara kuu ya lami Bagamoyo to msata road bei ni milioni 15 kwa heka moja pia unaweza kupiga simu namba 0659628665 kwa maelezo zaidi
Tunauza miche ya mananasi na ndizi kwa bei poa kabisa tunapatikana kiwangwa bagamoyo pwani mawasiliano no 0714121506 kalibuni sana kiwangwa yenye neema