Nyumba nzuri inauzwa Iko Mtaa wa Amani. mpiji Magie kituo Cha Daladala kinaitwa Machimbo Ina vyumba 3 Kwa ndani 1 Master viwili kawaida. jiko, Dinning na Sitting room na Public Toilet Nje Ina vitu vifuatavyo Vyumba vya kulala 2 Chumba 1 cha ofisi Frame 1 ya biashara Parking ya kutosha magari zaidi ya 5 Mabanda ya kufugia kuku zaidi ya 1000
Nyumba mbili zinapangishwa, zipo kwenye compond moja ndani ya ukuta. Zinajitengea kwa kila kitu. Maji ya dawasa na umeme zipo. Sebule kubwa, jiko, dinning, public toilet, vyumba viwili kimoja master. Slidding window, chini tukes, juu gypsum. Ni mpya kabisa. Zipo goba kulangwa karibu na hospitali kwa masister. Karibuni.