Nyumba nzuri inauzwa Iko Mtaa wa Amani. mpiji Magie kituo Cha Daladala kinaitwa Machimbo Ina vyumba 3 Kwa ndani 1 Master viwili kawaida. jiko, Dinning na Sitting room na Public Toilet Nje Ina vitu vifuatavyo Vyumba vya kulala 2 Chumba 1 cha ofisi Frame 1 ya biashara Parking ya kutosha magari zaidi ya 5 Mabanda ya kufugia kuku zaidi ya 1000
Apartment inapangishwa buswelu center -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self ), sebule, jiko na public toilet -kodi Milioni 2 kwa mwaka -malipo ni miezi sita -umeme na maji unajitegemea Nyumba ya 2 kutoka barabara ya lami 0743220097