Vifaa vya studio ya kurekodi

TZS 2,300,000
Vifaa vya Muziki
6 months
Tanzania
Dar es Salaam
Kinondoni
Sinza Boardroom
327 views
SKU: 7831
Published 6 months ago by Shadrack Alfred
TZS 2,300,000
In Vifaa vya Muziki category
Sinza Boardroom, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
327 item views
Nauza vifaa vyangu vya studio vilivyopo pichani kasoro laptop na hiyo Meza na kiti vilivyobaki vyote vipo kwenye package hata hilo carpet lipo ndani ya package kubwa wake ni futi 17×12,maongezi yapo kidogo package ina vitu vingi vizuri ukafika kuona boss, vifaa unaruhusiwa kutest kama tutakuwa serious kununua Read more

Description

Nauza vifaa vyangu vya studio vilivyopo pichani kasoro laptop na hiyo Meza na kiti vilivyobaki vyote vipo kwenye package hata hilo carpet lipo ndani ya package kubwa wake ni futi 17×12,maongezi yapo kidogo package ina vitu vingi vizuri ukafika kuona boss, vifaa unaruhusiwa kutest kama tutakuwa serious kununua

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account