Nauza mashine ya barafu 120 kwa masaa 4 Tu Mashine inatumia umeme wa 5000 kwa barafu 120 hadi 150 Unauwezo wa kuuza barafu 250 hadi 300 Mashine hii pia ina makopo yake ya kugandisha barafu za Tofali.makopo 40 total Mashine wa biashara nzuri na inakupa faida kwa haraka. Wahi tuwahi mashine naiuza bei ya kutupa.
Mayai ya kienyeji yaliyotokana na kuku waliotunzwa kwa njia asilia, bila kutumia madawa ya kisasa. Yamejaa virutubisho vya asili, na yana kiini chenye rangi ya dhahabu, ishara ya afya bora. Yanapikwa haraka, yana ladha tamu, na ni chaguo bora kwa familia inayojali lishe
Kwa mahitaji ya bati za rangi/msauzi ya rangi wasiliana nasi leo ujipatie bidhaa ilio katika ubora wa hali ya juu Bati zilizopo 1. Migongo mipana 2. Migongo midogo 3. Migongo mipana chengachenga 4. Muundo wa kigae Wahi sasa ujipatie ofa ya usafiri bure hadi site karibuni sana Kwa ushauri na kufahamu zaidi usisite kututafuta