"RAI YA JENERALI" ni kitabu cha makala za mzee Jenerali Ulimwengu. Hiki kitabu ni juzuu ya tatu; kina makala zote za mwaka 1996, zilizoandikwa na Jenerali Ulimwengu.
Ujipatie ultrasonic humidifier kwa Tsh 10,000 tu na ofa ya chupa moja ya marashi. Kwa matumizi ya nyumbani, ofisini, na hata kwenye gari. Wasiliana nasi kwa simu namba 0628892260 & 0619080040 & 0629119046 Karibuni sana