#MADINI / Geology Management
Tufanya utafiti wa Madini Mbali mbali Ardhini Kama Dhahabu, Ruby, Sapphire, gypsum, Copper, unaweza kulipa kwa asilimia baada ya uzalishaji kuanza au cash. Tunauza vitaru vya Madini, Tunasaidia kuanzia migodi ya madini, Tunauza madini mbali mbali Kwa order na tunapokea order za madini na Vitaru. (Utajua uwepo wa Madini Ardhini, kina, Upana wa mwamba, wingi wa Madini ufanisi ni mkubwa).
#MAJI / VISIMA
✓ Dar Survey ya Maji ni Laki 2 na Mikoani Laki 4 (Tunatumia LCD digital scanner utajua kina, wingi wa Maji, chumvi, ukiwepo site).
Uchimbaji kwa kila mita moja Dar 50,000 na Mikoani 75,000 mikoa yote tunafika Malipo ni baada kufika site na kuanza kazi,
✓ Tunauza Migodi / vitaru vya Madini na Mashamba yenye madini kwa bei nzuri pia tunaingia ubia na wawekezaji. Tuna Cooper, Gold, Lithium, Gypsum, Mica, Titanium, galena, Tantalite, Coal