Habari dawa hii itakusaidia yafuatayo
1.kusafisha tumbo na kulainisha mmeng'enyo wa chakula
2.kusafisha utumbo mdogo na mkubwa
3.kutoa sumu mwilini
4.kulainisha choo hivo kukufanya usipate maumivu wakat wa haja kubwa
5.kufanya kusinyaa kwa kinyama sehem ya haja kubwa
Kiujumla dawa hii ni nzur sana kwa watu wenye changamoto zinazosababishwa na mfumo mmbovu wa mmeng'enyo wa chakula kama vile
1.kukosa choo au kupata choo kigumu
2.kuota kinyama sehem za haja kubwa
3.gesi kujaa tumbon au tumbo kua na gesi
Karibun kwetu tiba sio dawa pekee bali ushaur kwanza ni sehem ta tiba
Read more