Toyota Opa 2005
Transmission: Automatic
_ AC inafanya kazi vizuri
_Mirror za umeme (automatic)
_Sport Rims zenye muonekano wa kisasa.
_Gari imetunzwa vizuri na iko tayari kwenda barabarani
_Lock zote zinafanya kazi
Document zote zipo, iko tayari kuhamishwa
BEI:TZS 5,500,000/= (Maongezi yapo kwa aliye serious)
0611200803
Piga/SMS/WhatsApp
Read more