TOYOTA MARK II GRAND INAUZWA Inauzwa gari safi aina ya *Toyota Mark II Grand*, lina nguvu, mwendo mzuri na lina muonekano wa kifahari. Lipo tayari kwa matumizi. 🚘 Aina: Toyota Mark II Grand 🛠 Hali nzuri sana, linafanya kazi vizuri *Bei*: TSh *5,500,000* 📞 *Wasiliana:* 0786 522 839
????LANDROVER DEFENDER TUMEISHUSHA BEI ‼️ SASA NI 48,500,000 TUU Engine Puma 2.2. Ya Mwaka 2014, Mileage 106,000 km ????Price / Bei 48.5m Maongezi kidogo, Njoo kwenye Gari.