*NISSAN DUALIS INAUZWA
Inauzwa gari la kifamilia aina ya *Nissan Dualis*, niya kisasa yenye nguvu, nafasi kubwa, na muonekano wa kuvutia. Inafaa kwa matumizi ya mji na safari ndefu.
🚙 Aina: Nissan Dualis
⚙ Transmission: Automatic
⛽ Injini: Petrol
💺 Ndani safi na viti vya kifahari
🧊 AC baridi
🛞 Alloy Rims
🛠 Hali bora – haijawahi kupata ajali
🔊 Screen + sound system nzuri
*Bei*: TSh *9,500,000*
📞 *Wasiliana:* 0786 522 839