Nyumba imejengwa katika ubora kabisa ni ya vyumba 3 master room na sebule kubwa kabisa vyumba viwili vya kulala, public toilet na kitchen nyumba imeisha upande mmoja complete mbele seating room,na master room imeisha inamadirisha tayari na upande mwingine imenyanyuliwa hadi usawa wa dirisha ambapo ni vyumba viwili choo na kitchen na ina korido.Parking space ...
Mashine ya kukatia viazi kwa haraka zaidi, Ina vikatio vya size mbili, yenye matobo 36 na nyingine 64. Ni nzuri kwa kuandaa salad, kibakuli chake kina ukubwa wa 870ml. Ni rahisi kuisafisha kwa kuachanisha tu na kurudisha baada ya usafi. Karibu sana????
Buy New 2024 Bianchi Specialissima RC Sram Red ETap AXS Road Bike Price : USD 7200 Min Order : 1 Unit Lead Time : 6 - 9 Days Port : CIF / Juanda International Airport Payment : Payment via PayPal, Bank Wire Transfer (T/T), Western Union (WU), Wise Transfer, World Remit, MoneyGram International and Xoom Shipment : FedEx, DHL, UPS Product : New Original and W...
Bidhaa za Michezo na BaiskeliJl.Mayjend Sungkono No.108
KIWANJA KINAUZWA NA BANK BEI YA KUTUPA, KIKO MBEZI LUGURUNI KWEMBE LOC: MBEZI LUGURUNI KWEMBE AREA :SQM 1500 PRICE: MIL 20 UMILIKI :MKATABA WA SERIKALI YA MTAA CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://wa.me/255715090904 Insta @excela_and_properties HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELFU...
Nyumba stand alone inapangishwa Mbweni karibu na Nyaishozi college. Ina vyumba viwili master bedroom (self-contained). Ina sebule, jiko kubwa na stoo. Ina public toilet moja. Maji na luku inajitegemea. Kodi ni laki 400,000 kwa mwezi (negotiable). Malipo ya miezi 6. Nyumba ni mpya kabisa. Car parking space ipo. Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0758906593.
About this space: This marvelous family home with a large outdoor space perfect for children, airy 4 bedrooms, exercise equipment and even a cook/cleaner available (at an extra cost), you will find everything you need to feel at home. The house is a in a safe residential area, walking distance to the main road where public transportation is available. Wi-fi ...
Nyumba za KupangaNgorongoro Building, Floor No 9 Room No 120
For sale: Black dressing table with a large mirror and matching stool, used for 4 months. Features multiple drawers for storage and a sleek modern design. • Condition: Used (4 months) • Includes: Large mirror, drawers, stool • Price: TZS 500,000 (Negotiable) • Call/WhatsApp: 0686700805 / 0626815763 Inauzwa: Meza ya kuvalia yenye rangi nyeusi, kioo kikubwa, n...
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, ina sebule kubwa, jiko, dinning slidding window, chini tIles, juu gypsum. Ipo ndani ya fence inajitegemea kwa kila kitu. Nyumba ipo salasala karibu na shule ya msingi umbali wa uwanja wa mpira toka barabara ya lami ya salasala. Barabara kwa sasa ina chamgamoto kwa gari ndogo.