TOYOTA MARK II GRAND INAUZWA
Inauzwa gari safi aina ya *Toyota Mark II Grand*, lina nguvu, mwendo mzuri na lina muonekano wa kifahari. Lipo tayari kwa matumizi.
🚘 Aina: Toyota Mark II Grand
🛠 Hali nzuri sana, linafanya kazi vizuri
*Bei*: TSh *5,500,000*
📞 *Wasiliana:* 0786 522 839