Class-leading Rotax V-Twin engines in 91-hp (1000R) and 78-hp (850) the Outlander puts all its torque down with responsive throttle, a signature roar, and power to spare. Everything you need to rule outdoors. Outlander puts power and stability on equal footing, for confident handling, the most horsepower & the best hauling of its category. Made to perfor...
Mint Brand New Condition 6 months old 1167kms run 2 free service pending ABS DISC BRAKES **ACCESORIES** Side Protection Bars from Bizen India Metal Oil Cap Radiator Grill Dual tone horn Dual Color Branded Powerful extra Spot lights Tourer kit (not attached) AXOR India Heavyduty helmet with UV glasses MOBILE holder Valid 3rd party insurance
Pata Bajaji yako ya Umeme LEO ! Chaji nyumbani kwa Tsh 3,000 tu kwa masaa 2.5, na furahia safari za kirafiki kwa mazingira za kilomita 100. Ikiwa na uwezo wa kubeba kilo 400, inakabiliana hata na vilima vikali! Yote haya kwa Tsh 8.6 milioni tu za Kitanzania. Mikopo unapatikana.
INAUZWA: PIKIPIKI USED Aina: Boxer BM CC: 125 Hali: Imetumika lakini iko katika hali nzuri sana Bei: TZS 2,250,000 (Milioni Mbili na Laki mbili na nusu) Tayari kwa matumizi, inawaka vizuri, haijawahi pata ajali. Imehifadhiwa vizuri na iko tayari kuingia barabarani. Wasiliana nami kwa maelezo zaidi au kuona pikipiki: [0611200803] Usikose hii ofa – pikipiki im...
TRí E2 ni bajaji ya umeme ya kisasa, iliyotengenezwa kwa ajili ya matumizi ya kila siku ya biashara na usafirishaji. Haina matumizi ya mafuta – unachaji kwa 3,000 TZS na inakupeleka hadi 100 km kwa chaji moja. Sifa kuu: Umeme 100% Betri ya 8 kWh – uwezo wa kwenda zaidi ya 100 km kwa chaji moja Gharama ndogo ya uendeshaji – kuchaji ni 3,000 TZS pekee Huduma y...