KIWANJA KIZURI CHA MAKAZI NA BIASHARA KINAUZWA HAPA OYSTERBAY DODOMA, KWA WEWE MUWEKEZAJI WA APARTMENT NA MADUKA TAYARI TUMEKUANDALIA RAMANI YA MAJENGO UNAWEZA KUONA IDADI YA NYUMBA ZITAKAZO WEZA KUKAA. UTAONA IDADI YA MADUKA YANAYO WEZA KUKAA HAPA,
✅Matumizi ni Makazi na Biashara
SQM - 1100,
Kiwanja hiki ni cha kwanza Barabara mpya ya Lami ya Oysterbay - unaweza kuwekeza makazi na fremu za Maduka au Hotel🔥
Sifa za eneo.....👇
✴️KM 1 adi ilipo mahakama kuu mpya
✴️KM 2 adi ulipo ukumbi wa jakaya convention center
✴️KM 2 adi jengo la kambarage tower
✴️KM 2 adi ilipo treasury square dodoma au jengo la hazina
✴️KM 4 tuu kutoka mjini kati
👏kiwanja kimepimwa na kina hati miliki ya miaka 99
Eneo hili lipo katikati ya maeneo yanayo jengeka kwa kasi kama
1) Mkalama
2) Kisasa
3) Eneo la uwekezaji Njedengwa
Utaratibu Wa Kutembelea Site:
🕣 Kila siku kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 9:30 JIONI
🚌 Usafiri wa kwenda site zetu zote ni BURE kabisa!
————
WASILIANE NASI:
📞 0745 200 984
📞 0747 999 997
📍 Tembelea ofisi zetu: Dodoma Mjini, Mtaa wa Uhindini – Mkabala na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi
Read more