Maelezo ya Bidhaa
Lenovo ThinkPad X230 Inauzwa
Laptop imara na ya kuaminika, inayofaa kwa wanafunzi, wafanyakazi wa ofisini, au matumizi ya kawaida. Ina processor yenye nguvu na RAM ya kutosha kwa ajili ya kazi nyingi kwa wakati mmoja.
Vipimo:
Processor: Intel Core i5-3320M @ 2.60 GHz (Generation 3)
RAM: 8GB
Srorage: HDD 500GB
Operating System: Windows 11 Pro (64-bit)
Kioo: Inch 12.5 (resolution 1366x768)
Ports: USB 3.0, VGA, Mini DisplayPort
Betri: (5-7 hours)
Hali ya Laptop:
Inafanya kazi kikamilifu bila matatizo..
Ina Windows 11 Pro tayari, kwa ufanisi bora wa matumizi.
Bei: 350,000 laki tatu na nusu
Read more