Karibu ujipatie gaming keyboard kwa bei ya jumla na rejareja. Ni keyboard inayo waka taa kwenye button zake na pia kwenye mouse. Una pata keyboard pamoja na mouse yake. Tuna tuma mikoa yote na kitu kizuri.Malipo ni baada ya kupokea mzigo karibu sana. Tuko Dares salaam kimara Temboni.
Karibu ujipatie wireless keyboard kwa bei ya jumla na rejareja Ni keyboard ambayo inakuwa na mouse yake ambayo pia ni wireless. Ni portable hivyo ni rahisi kubebeka. Tuna safirisha mikoa yote ni kitu kizuri kwetu mteja unalipia mzigo baada ya kupokea bidhaa. Tuko Dares salaam kimara Temboni.