Nauza Viwanja Dodoma Mjini lyumbu Kaanani, -Nina viwanja vitatu SQM 534, SQM 586 na SQM 406 - Kila kiwanja, Nauza Million 10 Fixed isipokuwa SQM 406 Nakiuza Million 8 - Unaruhusiwa kuunganisha ukavifanya kuwa kiwanja kimoja -Documents Ni Surveyed Form
Nyumba imejengwa katika ubora kabisa ni ya vyumba 3 master room na sebule kubwa kabisa vyumba viwili vya kulala, public toilet na kitchen nyumba imeisha upande mmoja complete mbele seating room,na master room imeisha inamadirisha tayari na upande mwingine imenyanyuliwa hadi usawa wa dirisha ambapo ni vyumba viwili choo na kitchen na ina korido.Parking space ...