Sudi

Sudi Sudi
Specializes in Afya na Urembo
Tabata Bima, +255, Tabata Bima, Ilala, Dar es Salaam, Tanzania
12 active listings
Company
Alikuwa online 1 year ago
Registered for 2 years
About seller
Wauzaji wa vipodozi na manukato original kwa bei nafuu.Tunapatikana Tabata Bima karibu na Stand ya daladala au piga simu namba 0655426060

Bidhaa Mpya

Sudi Pro Sudi 2 years
VYETEZO VYA MKAA NA UMEME
Check with seller
VYETEZO VYA MKAA NA UMEME
Dar es Salaam
Njoo ujipatie vyetezo vizuri vya mkaa na umeme kwa bei nafuu na vyenye ubora wahi sasa Tunapatikana Tandika mtaa wa chihota karibu na CRDB Bank au piga simu namba 0655426060
Afya na Urembo
Check with seller
Sudi Pro Sudi 2 years
ORCHID PERFUME
TZS 15,000
ORCHID PERFUME
Dar es Salaam
Ni moja ya perfume ya kiume yenye harufu nzuri na ubora wa hali ya juu.Harufu Safi kabisa isiyokera Utaipata kwetu kwa bei nafuu kabisa.
Afya na Urembo
TZS 15,000
Sudi Pro Sudi 2 years
SHOWER GEL GOLDIE
TZS 15,000
SHOWER GEL GOLDIE
Dar es Salaam
Ni kwajili ya matumizi ya kuongea inasaidia kuondoa harufu mbaya mwilini na kuifanya ngozi yako kuwa yenye afya
Used Afya na Urembo
TZS 15,000
Sudi Pro Sudi 2 years
COCONUT'S MAGIC BODY LOTION
TZS 4,000
COCONUT'S MAGIC BODY LOTION
Dar es Salaam
Hii ni lotion ilotengenezwa kwa mafuta ya Nazi ambayo hayana kemikali yoyote hii inafaa kwa watoto na watu wazima.
New Afya na Urembo
TZS 4,000
Sudi Pro Sudi 2 years
ROYAL PERFUME
TZS 10,000
ROYAL PERFUME
Dar es Salaam
Hii ni perfume ya kiume yenye harufu nzuri iliyopoa inapatkana kwetu kwa bei nafuu kabisa wahi sasa
Used Afya na Urembo
TZS 10,000
Sudi Pro Sudi 2 years
FACE AND BODY CREAM
TZS 12,000
FACE AND BODY CREAM
Dar es Salaam
Hii ni cream isiyochubua hata kidogo inafaa kwa wanaume na wanawake inaondoa weusi uliotokana na jua pia inafanya ngozi yako kuwa nyororo na muonekano mzuri,kwa wale pia ambao walitumia mikorogo na ngozi ikaharibika hii ndio solution ya tatzo lako
New Afya na Urembo
TZS 12,000
Sudi Pro Sudi 2 years
ALIUDI
TZS 2,000
ALIUDI
Dar es Salaam
Aliudi zenye ubora na harufu nzuri kabisa hizi utazipata kwetu kwa nafuu sana tofauti na sehem zingne zote njoo ujionee na uchague kilicho bora kabisa
New Afya na Urembo
TZS 2,000
Sudi Pro Sudi 2 years
MINI CRYSTAL
TZS 4,000
MINI CRYSTAL
Dar es Salaam
Hizi ni Mini Crystal zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu na harufu nzuri zenye kukufanya ujiamini sehem popote uendapo.
New Afya na Urembo
TZS 4,000
Sudi Pro Sudi 2 years
HEEL BALM
TZS 5,000
HEEL BALM
Dar es Salaam
Kama unasumbuliwa na magaga hili ndio suluhisho la matatizo wahi sasa jipatie Dawa hii kwa bei nafuu kabsa.
Afya na Urembo
TZS 5,000
Sudi Pro Sudi 2 years
SAUVAGE PERFUME
TZS 25,000
SAUVAGE PERFUME
Dar es Salaam
Hii ni perfume Original kabisa yakiume na inauwezo wakukaa ktk nguo zaid ya masaa 24 wahi sasa ujipatie kilicho bora kutoka kwetu.
Afya na Urembo
TZS 25,000
Sudi Pro Sudi 2 years
Christmas Offer
TZS 30,000
Christmas Offer
Dar es Salaam
Jipatie Full set ya PURE OUD ikiwa ni perfume na spray yake .Hii utaipata kwetu kwa bei nafuu kabisa.Wahi sasa ujipatie manukato aina tofauti kutoka dukani kwetu zipo za aina zote zakike na kiume.
Huduma za Urembo na Mazoezi
TZS 30,000
Sudi Pro Sudi 2 years
Christmas Offer
TZS 25,000
Christmas Offer
Dar es Salaam
Kwa msimu huu wa sikukuu jiandae kwa kujipatia perfume zenye ubora kwa bei nafuu kabisa zenye kiwango na harufu nzuri.Jipatie perfume ya DESERT SULTAN original kabsa
Huduma za Urembo na Mazoezi
TZS 25,000
  • 1
Are you a professional seller? Create an account