Mtc store

Mtc store Mtc store
Specializes in Afya na Urembo
Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
21 active listings
Personal seller
Alikuwa online 1 year ago
Registered for 2 years
About seller
Working Hrs: 08:00am-08:00pm
Order-delivery-pay
CALL/WHATSAPP: 0689- 593859

Bidhaa Mpya

Mtc store Mtc store 2 years
Vitamn E body cream & cleanser
TZS 30,000
Vitamn E body cream & cleanser
Dar es Salaam
Vitamin E body cream & cleanser zipo dukani Body cream 30,000 Cleanser 30,000
Afya na Urembo
TZS 30,000
Mtc store Mtc store 2 years
Dove shower gel
TZS 35,000
Dove shower gel
Dar es Salaam
Dove shower gel original kabisa zipo dukan Shower gel hi inanukia vzr sana • Inaexfoliate ngozi yako vzr • Inaondoa taka zote mwilini na kukuacha ukiwa smooth • Inakupa glowing skin a moisturizer muda wote Na ina povu jingi sanaa Bei 35000
Afya na Urembo
TZS 35,000
Mtc store Mtc store 2 years
Soap & glory body butter
TZS 65,000
Soap & glory body butter
Dar es Salaam
SOAP & GLORY BODY BUTTER AVAILABLE The best thing kuhusu hizi body butters Zina absorb haraka kwenye ngozi, there is nothing like a greasy feeling ukitumia hizi, harufu yake sasa nzuri saana Ziko formulated kwaajili ya ngozi kavu sana, kama una ile super super dry skin hizi body butters ziko heavy zinashika kwene ngozi vizuril mno na kwa mda mrefu! Very ...
Afya na Urembo
TZS 65,000
Mtc store Mtc store 2 years
Soap & glory body scrub
TZS 55,000
Soap & glory body scrub
Dar es Salaam
SOAP & GLORY FLAKE AWAY BODY SCRUB AVAILABLE Kama umewahi kutumia body wash zake or lotion unajua what to expect hapa! One of the best body scrubs in the market, zinanukia kuliko maelezo! Hii scrub ni nzuri Amazing scent Good Texture Zina exfoliate, zinaondoa dead skin cells Ukimaliza kujiscrub unapata a very soft feeling na ngozi haibaki kavu. PRICE: 55...
Afya na Urembo
TZS 55,000
Mtc store Mtc store 2 years
Tumeric oil
TZS 80,000
Tumeric oil
Dar es Salaam
Oil nzuri sana kwa ajili ya kuondoa madoa, stretch mark na makovu, Inaondoa weusi katikati ya mapaja, mgongoni, tumboni na weusi shingoni Inasaidia kuondoa stretch marks Inafanya ngozi iwe soft and smooth *Inaondoa madoa na makovu mwilini Inalainisha ngozi ya mwili vizuri moo! Uneven skin Tone Inaipa ngozi mng'ao mzuri Unaweza kumix kwenye body lotion/ body ...
Afya na Urembo
TZS 80,000
Are you a professional seller? Create an account