Karibu ujipatie meza ya chakula ya kisasa kabisa meza hii ni marble ngumu kama jiwe meza ni mpya kabisa pia viti ni vipya kabisa hii meza ni imara sana
Karibu ujipatie meza ya ofisi ya kisasa kabisa imara na bora kabisa yenye ubora wa hali ya juu kabisa meza inaukubwa wa cm 180 Ina muonekano wa kisasa kabisa meza ni mpya