New build with 3 bed room one room master,kitchen,public toilet and packing space
TZS 15,000,000
New build with 3 bed room one room master,kitchen,public toilet and packing space
Dar es Salaam
Nyumba imejengwa katika ubora kabisa ni ya vyumba 3 master room na sebule kubwa kabisa vyumba viwili vya kulala, public toilet na kitchen nyumba imeisha upande mmoja complete mbele seating room,na master room imeisha inamadirisha tayari na upande mwingine imenyanyuliwa hadi usawa wa dirisha ambapo ni vyumba viwili choo na kitchen na ina korido.Parking space ...
TZS 15,000,000