YARA HOMEWARES

YARA HOMEWARES YARA HOMEWARES
Specializes in Vifaa Nyumbani na Fanicha
Kariakoo,Ilala,Dar,es, salaam,Tanzania, Kariakoo, Ilala, Dar es Salaam, Tanzania
1 active listings
Company
Alikuwa online 12 hours ago
Registered for Today
About seller
KARIBUN SANA WAPENDWA
YARA HOMEWARES KUJIPATIA VYOMBO VYA MAJUMBANI-HOTELINI_kama vile dinner set,sufuria za Umeme,sahani za mfupa za kisasa,vijiko,majiko ya umeme ya kisasa na vinginevyo............✨ VIZURI,VYENYE KUVUTIA NA UIMARA IKIWEMO NA WARRANTY YA MWAKA MZIMA,1-yr
TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM, KARIAKOO AU TUPIGIE WHATSAPP
KUPITIA NAMBARI?
☎️+255 759065148
TUMA ORDER YAKO TUPE LOCATION TUNAKUJA HADI MLANGONI KWAKO!
FREE DELIVERY BUREE POPOTE ULIPO NCHINI
KARIBUN SANA WAPENDWA WATEJA WETU

Bidhaa Mpya

YARA HOMEWARES Pro YARA HOMEWARES Today 01:52
Frampeni Nzito Ziko PIC 4 Tu
TZS 150,000
Frampeni Nzito Ziko PIC 4 Tu
Dar es Salaam
Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea SET ya FLAMPENI TU ambazo zipo pic,4 TU!! Kwa TSH,150,000 TU....!! Karibun Sana wapendwa wetu wateja zipo Chache Mnoo jmn Nawaomba Tusiizache jamn,πŸ™πŸ»πŸ™πŸ» Tuma Order yako Tukufanyie FREE DELIVERY popote ulipo nchini buree Tupe Location tunakuja Hadi mlangoni kwako YARA HOMEWARES TUAMINI NA SISI TUKUAMINISHE, πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
Vifaa Nyumbani na Fanicha Kariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
TZS 150,000
YARA HOMEWARES Pro YARA HOMEWARES Today 01:46
Seti ya Sufuria 4, Kikaango (frying pan) 3, Bakuli 2, Vijiko, na Mwiko
TZS 500,000
Seti ya Sufuria 4, Kikaango (frying pan) 3, Bakuli 2, Vijiko, na Mwiko
Dar es Salaam
Jamni ndugu wateja wetu Ile SET yetu ya sufuria4, Flampeni 3, bakuli2, vijiko na mwiko Basi imewadia jamni karibun Sana Wapendwa wateja wetu na hizi SET Zimebaki Chache mnoo wahi Sasa DM Chap πŸ“© Tuma Order yako Tukufanyie FREE DELIVERY popote ulipo nchini. karibun Sanaa YARA HOMEWARES TUAMINI NA SISI TUKUAMINISHE πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
Vifaa Nyumbani na Fanicha Kariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
TZS 500,000
YARA HOMEWARES Pro YARA HOMEWARES Today 01:18
Seti ya Sufuria, Frampeni na Bakuli
TZS 300,000
Seti ya Sufuria, Frampeni na Bakuli
Dar es Salaam
Hellow!! Jamani wapendwa wetu leo Tumewaletea SET nzuri Sana yenye SUFURIA4, FLAMPENI1,NA BAKULI karibun Sana Wapendwa wateja wetu na SET hizi Zimebaki Chache mnoo wahi Sasa tuma Order yako Tukufanyie FREE DELIVERY popote ulipo nchini buree!! karibun Sanaa na Kuhusu rangi msihofu wateja wetu zipo tele rangi nyingi, tofauti,nzuri na zakuvutia Karibun Sanaa,πŸ™πŸ»...
Vifaa Nyumbani na Fanicha Kariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
TZS 300,000
  • 1
Are you a professional seller? Create an account