TOYOTA IST INAUZWA – BEI POA
🔹 Gearbox: Automatic
🔹 Engine: 1300 CC
🔹 Mileage: Low (km nzuri)
🔹 Rangi: Safi, body haijaguswa
🔹 Hali ya gari: Nzuri sana, injini inawaka kwa ufunguo, AC ipo na inafanya kazi vizuri, suspension imara.
🔹 Matumizi: Gari ndogo ya kifamilia, pia nzuri kwa biashara (Uber/Bolt).
💰 Bei: 19,000,000/= (maongezi yapo kidogo kwa mnunuzi wa kweli)
📍 Location: Dar es Salaam
📑 Nyaraka zote zipo (blue book, insurance, road license).
✅ Karibu uone gari na kufanya test drive kabla ya maamuzi.
📞 Wasiliana: 0622719835/Whatsapp
Read more