2018 Toyota Hilux Double Cabin White Color

Check with seller
Gari
Friday 11:47
Tanzania
Dar es Salaam
Kinondoni
Samora
34 views
SKU: 14154
Published 15 hours ago by michael tumaini87
Check with seller
In Gari category
Samora, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
34 item views
Inauzwa Toyota Hilux Double Cabin, mwaka 2018, rangi nyeupe, namba za biashara. Gari iko katika hali nzuri sana, imetunzwa vizuri na tayari kwa matumizi. Ina injini ya dizeli yenye nguvu, mfumo wa 4×4, double cabin yenye viti 5, air condition, power windows, central locking na fog lights. Inafaa kwa matumizi ya binafsi na biashara kwa sababu ya uimara na uwezo wa kubeba mizigo mikubwa.

Wasiliana kwa maelezo zaidi au kuona gari. +255 767 416 970 Read more

Specs

Vehicle Brand Toyota
Engine Capacity CC 2393
Gearbox Manual
Year 2018
Color White
Body Type Pickup
Fuel Type Diesel
Drive Four-Wheel Drive (4WD)
Mileage Km 60000
Seats 5-seater
Digital Radio
Door 4-door

Description

Inauzwa Toyota Hilux Double Cabin, mwaka 2018, rangi nyeupe, namba za biashara. Gari iko katika hali nzuri sana, imetunzwa vizuri na tayari kwa matumizi. Ina injini ya dizeli yenye nguvu, mfumo wa 4×4, double cabin yenye viti 5, air condition, power windows, central locking na fog lights. Inafaa kwa matumizi ya binafsi na biashara kwa sababu ya uimara na uwezo wa kubeba mizigo mikubwa.

Wasiliana kwa maelezo zaidi au kuona gari. +255 767 416 970

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account