*TOYOTA HARRIER NEW MODEL INAUZWA. *Toyota Harrier New Model*, gari lenye muonekano wa kifahari, lenye nguvu na starehe kwa matumizi ya mjini na safari ndefu. *Sifa za Gari:* 🚙 Aina: Toyota Harrier – New Model ⚙ Transmission: Automatic ⛽ Injini: Petrol 🧊 AC baridi 💺 Viti vya ngozi (Leather seats), ndani safi 🛠 Hali bora kabisa, haijawahi kupata ajali 🔊 Scree...
TOYOTA LAND CRUISER PRADO Gari ya nguvu inayofaa kwa safari za mbali, maeneo magumu na matumizi ya kifamilia au kiofisi. Ipo katika hali nzuri, tayari kwa matumizi. *Bei*: TSh *15,500,000* 📞 *Wasiliana:* 0786 522 839