Homa ya hini (hepatitis) ni uvimbe wa ini hunaousishwa na seli kuvimba kiini katika tishu ya ini.hali hii inaweza kujiponyesha au kuendelea kuwa fibrosisi(kovu)na ugonjwa sugu wa ini.homa ya ini inaweza kujitokeza kwa kiasi au kutokuwa na dalili yoyote lakini mara nyingi huleta homa,kukosa hamu ya kula na kunyong'onyea kwa mwili.homa ya ini ni kali wakati in...