Kwa sasa kupika kwa umeme ni gharama nafuu salama na ya haraka zaidi kuliko kutumia kuni, mkaa au gesi. endapo ukitumia vifaa sanifu kupikia ikiwemo Sescom Pressure Cooker
Sescom Pressure Cooker linatumika kupika vyakula aina mbalimbali kama ugali, wali, kande, maharage, chips, karanga, keki, mkate n.k inatumia umeme kidogo sana inapika kwa muda mfupi zaidi linapika kimwa kabisa halina kelele