Temeke
Ameg Electric Bic
Pikipiki ya umeme imetumika miezi miwili tu, unapata na helmet bure. Unaweza washa kwa remote na funguo pia. Unapewa funguo mbili, moja ni spare mpya kabisa. Very classic. Nauza kwa bei ya hasara kabisa ingawa inafanya kazi vizuri, hilo vumbi kwenye picha lisikichanganye njoo ujionee.Changamkia fursa na pia maongezi yapo.
TZS 1,300,000