Morogoro
KIWANJA KINAUZWA CHENYE NYUMBA YA NYUMA
NYUMBA INAUZWA iko morogoro maeneo ya mkundi, ni nyumba ya room 2 moja self ,sebule ,store na pia mbele ya nyumba kuna kiwanja kikubwa n 1km toka barabara ya dodoma Umeme na maji umefika karbu na kiwaNJA PRICE 11M
TZS 11,000,000