Kigamboni
House
Nyumba ina: Umeme, maji muda wote kuna tank na kisima, nyumba ina vyumba viwili vya kulala kimoja ni master, public toilet, sitting room, jiko kubwa na stoo. Kuna air conditioner, washing machine, refrigerator, water dispenser, wardrobe, vitanda viwili na magodoro matatu, tv na sofas
TZS 55,000,000