kiwanja kinauzwa kipo msalato, kimepimwa, kimelipiwa gharama za upimaji,huduma za jamii zote zipo, utasaidiwa kupata hati, eneo ni tambalale taarifa za kiwanja kwenye picha hapo juu zaidi
kiwanja kinauzwa kipo karibu na mji wa kiserikali(magufuli city) dodoma mjini, Kina ukubwa wa mita za mraba 1004 document zote zipo ni mchakato wa hati tu ndo utaufanya, Eneo ni zuri kwa ujenzi tambarale barabara ya mita 40 pia kimepakana na eneo la kituo cha mafuta mita chache mbele