Eneo limepimwa. Sebule,Jiko,Dinning na Stoo ndani. Blandering,fittings za umeme na maji zimekamilika. Panafaa kwa hostel na makazi. Nusu ya eneo lina fence tayari.
TZS 48,000,000
10 months agoHouses & Apartments for SaleNewSell223 people viewed
-VYUMBA 4 VYA KULALA +2MASTER -SEBULE -JIKO -STOO -DINNING -CHUMBA CHA KUSOMEA ENEO NUSU LINA FENCE TAYARI BLANDERING PLASTA YA NJE SHIMO LA CHOO TAYARI
Vyumba 4 +Vyumba 2 ni Master bedroom. Sebule. Dinning . Stoo. Study room. Jiko . Eneo 1,144 sqmt- Panafaa kwa hostel ni mita chache kutoka Chuo cha Afya Kigamboni. NOTE;Nyumba imezungushiwa ukuta nusu ya eneo. Mabomba ya maji na umeme tayari yamewekwa.
Eneo ni 1000sqm. 4 floors with capacity to extend 2floors. 39 bedrooms and 7 stores. Rooftop space This building is potential for business like:- Hospital Hotel Apartments Airbnb