Ina uwezo wa kutoa tofali nne kwa wakati mmoja na pavings. Inatumia motor 3 za vibration zenye 2.2kw kila moja. Inakuja na toroli 2 za kubebea tofali, tool box na control box. Tunatoa free installation na training. Ina uwezo wa kufanya kazi 24/7 kwa shift. Warrant ni 6 months kwenye motors.
UTOMAC SYRUP Ni dawa mijarabu ya asili ni nzuri sana kwa UTI sugu imetengenezwa kwa kutumia mchanganyiko wa dawa kubwa zenye asili ya kiarabu zenye uwezo wa 1)kusafisha mkojo mchafu 2)kuzuia kukojoa damu 3)kuondoa maumivu wakati wa haja ndogo 4)kusafisha kibofu cha mkojo